Details
Description
NYUMBA NZURI SANA YA KISASA INAPANGISHWA ? NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO #VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER #SEBULE KUBWA #DINING #JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI YA KISASA #AIRCONDITION VYUMBA VYOTE #PAVING #GARDEN #KWENYE FENSI MOJA ZIPO NYUMBA 2 TUU NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA #KILA NYUMBA INAJITEGEMEA KWA KILA KITU KUANZIA UMEME WAKE NA MITA YA MAJI DAWASA ?NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU BEI NI 450K X 6 #NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA