Details
Description
#VYUMBA_VITATU INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-BAHARI BEACH ______________ KODI TSHS MIL 1,000,000/=KWA MWEZI _________________ MALIPO YA MIEZI 6 _____________ YA KIFAMILIA _______ YENYE:- Vyumba Vitatu vya kulala #VYOTE ni Masta #Sebule #dinning #Jiko zuri la kisasa #Choo/#Bafu vya ndani public #Gypsum #Tiles #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo kubwa Nje #Pavingblocks #FencedApart ____________ PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA @dalali _____ Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA