Details
Description
Stand Alone Nzuri Inapangishwa Mahali: Makongo Juu Bei: 400,000 Kwa Mwezi Malipo: Miezi 6 ☑️Vyumba Viwili Vikubwa, Kimoja Ni Master ☑️Sebule Kubwa Sana ☑️Dinning ☑️Jiko Zuri Lenye Makabati ☑️Public Toilet ☑️Fensi ☑️Parking Kubwa ☑️Tiles, Gypsum ☑️Slid Windows ☑️Reserve Tank ☑️Maji Dawasa 24/7 Service Charge: 20,000(Payable Once) Bila Kusahau Malipo Ya Dalali Ambayo Ni Mwezi Mmoja Wa Kodi.