Details
Description
VYUMBA VIWILI VYA KULALA INAPANGISHWA STAND ALONE INAJITEGEMEA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-SALASALA MWANZO ———————————————————- Ipo karibu na balabala Ya lami KODI TSHS LAKI 500,000/=KWA MWEZI —— MALIPO YA MIEZI 6 —— IKO PEKEE YAKE KWENYE FENSI ____________ YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba Viwili vikubwa vya kulala Kimoja Wapo ni Master #Sebule kubwa# Jiko lenye #Makabati Stoo #Choo/Bafu vya public#Vyandani #Gypsum #Tiles #Slides #Windows #Umeme upo wa #Luku yake #Maji yapo ya #bomba #24hrs Cars #Parking Space ipo Nje FencedHouse Garden _______________ Nione Dalal ____ Pia viwanja vinapatikana vya KUNUNUA