Details
Description
WAI MAPEMA UKIIKOSA HII JILAUM MWENYEWE ################# NI APARTMENT NZURI SANA YA KUPANGA IPO UBUNGO MAKOKA KWA MKUA ################# KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA TU ################## SIFA ZAKE ######## NI CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA JIKO ZURI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NJE ################### INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI MAZINGIRA MAZURI PERVING BLOCK SAFI ################### IPO NDAN YA FENSI PARKING IPO KUBWA #################### INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW CHOON NA JIKON ################## UMBALI KM 2 KUTOTA KITUO CHA MWENDOKAS KIMARA KOROGWE AU KUTOKEA UBUNGO EXSTENO KOTE UNAFIKA NYUMBAN USAFIRI UPO BAJAJI 700 BRBR NI YA LAMI ################### SERVICHAJ ELIFU 10 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA ##################