Details
Description
CHUMBA SEBULE CHOO INAPANGISHWA APARTMENT IKO DAR ESALAAM TZ MAHALI — MBEZI BEACH —————————— KODI TSHS LAKI 200,000/=KWA MWEZI ——— MALIPO YA MIEZI 6 Ni Chumba sebule Choo Umeme Full time maji bomba yapo Ipo ndani ya fensi Mazingira safii FencedApart Garden