Condition:
USED
Description
nimeingiza mafreezer Freezer yaliyotumika United kingdom England hapa Dar es salaam toka Zanzibar. Freezer Lina ukubwa wa futi 6. Linagandisha vyema kabisaa. Guarantee mwezi mmoja Linapatikana Sinza Mori. WhatsApp; 0627219004