Description
Nyumba inauzwa milioni 380 Nyumba ipo tegeta Block D inavyumba 4 master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni 1800 document TITLE DEED (Hati miliki) pia ina mabanda ya kufugia kuku ambayo yanauwezo wa kuchukua kuku 2000 kwa pamoja