Description
Nyumba inauzwa,Nyumba ipo kata ya kitunda,mtaa wa mzinga manispaa ya Ilala. Inavyumba vitatu vya kulala,kimoja ni master,Ina jiko na choo Cha public, sitting room kubwa tu. Ukubwa wa eneo ni square meter 401, Inalesen ya makazi NA. ILA027725 Ardhi no.ILA/KTD/MZG12/53 Bei yake ni mil.35,maongezi yapo. Kwa maelezo au maswali wasiliana nami Kwa namba zifuatazo 0621868687 au 0656488722