03.01.2026Kilimanjaro

Nyumba Inauzwa Moshi

TZS 70 000 000

Description

NYUMBA INAUZWA BEI POA SANAA!! MILIONI 70 TUUU!!! 🔥 Location; Pumwani Moshi, jirani kabisa Na Randa Cottage. Vyumba 3 vya kulala vikubwa(1 ni master. Jiko kubwa Sebule kubwa kabisa Dining Choo&bafu public Stoo ×3 Baraza kubwaa Ukuta mzuri na gate Parking kubwa na eneo la wazi. Umeme na Maji yapo 24hrs Nyumba imekamilika kwa %99 Ukubwa wa kiwanja ni 20/30 PRICE NI MILIONI 70 TU!!! Maongezi yapoo Maelezo zaidi nichek 0620876252 au 0715781988

Muro

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Kilimanjaro