Description
Meza hii ni maarum kwa ajili ya kuhifazia gas ya kupikia na vifaa mbali mbali vya mapishi. Ukinunua meza hii utaletewa mahali popote ndani ya Dar es Salaam Pia tunapokea oder za matengenezo ya thamani za aina zote karibu sana kwa mawasiliano 0788590195 au niandikia barua pepe @[email protected]