Description
original HISENSE dishwasher features: 1. plates space : in nafasi kubwa kabisa ya kupanga sahani 14 na nafasi nyengine ya kuweka vijiko na vikombe 2. wash program: ina programu 9 za kuosha vyombo na ambayo ni rahisi sana kutumia 3.hygiene plus: ina takatisha vyombo na kuuwa bacteria wote 4.Dry program: ina kausha vyombo bila kutumia matumiz makubwa ya umeme 5.noise and water reduction: haipigi makelele katika ufanyaji kazi na inatumia maji kidogo sana A +++ : Hii humaanisha matumiz kidogo