27.08.2022Dar es Salaam

Kitchen Cabinet

TZS 250 000

Description

Tuna tengeneza kitchen cabinets za aina zote kwa gharama nafuu na kwa muda mfupi. Tupo mwenge lufungila nyuma ya zamani calabash pub, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa12 jioni kila siku za wiki. Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba 0753604953

Smart F. E.

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam