Description
Incubator ya kisasa kabisa ya mayai 72 iliyoboreshwa zaidi. 🐥Trey zake unavuta kama droo hivyo ni rahisi kuweka na kutoa mayai. 🐣 Sensa za joto na unyevu ni sahihi zaidi 🐤Totolesha mayai ya kuku, bata, bata mzinga, njiwa na kanga. 🐤 Inatumia umeme au sola/betri ya 12v 🐤 Ina ufanisi mkubwa wa zaidi ya 98% 🐥 Ni full automatic na inageuza mayai yenyewe. 🐤 Inafaa kunganisha waya wa umeme na wa betri kwa pamoja. Umeme wa tanesco ukikatika inapokea wa betri automatically.