01.12.2022Morogoro
Description
nyumba inapangishwa ipo forest morogoro nyumba ina vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master, sebule, jiko, store, public toile ipo ndani ya fensi kodi kwa mwezi ni laki tatu(300, 000) simu:0714444838
Chat with Mwalimu F. Y. M.
Call Mwalimu F. Y. M.