12.08.2023Dar es Salaam
Description
Hi friji ni used changamoto yake ni sehemu ya chini haipoozeshi sana ila juu inagandisha vizuri ,ukiipenda nitakupunguzia 80 elfu ili iwe ni ya matengenezo yako na unanipa 300000.
Chat with Getrude
Call Getrude