12.08.2023Dar es Salaam

Friji aina ya TOSHIBA

TZS 330 000

Description

Friji ni nzuri sana ila changamoto yake sehemu ya chini haipoozeshi sana ila juu kwenye Friza ipo vizuri ukiipenda unatoa 270,000 sitini elfu nakupunguzia kwaajili ya matengenezo.

Getrude

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam