Condition:
NEW
Description
Ina warranty miaka 2 years Inatumia umeme mdogo sana Inatunza ubaridi kwa mda mrefu Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani kwako kwa mkazi wa dar es salaam Mkoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana