07.09.2023Dar es Salaam

Fridge, American style

TZS 700 000

Description

Lipo kwenye Good condition, Kubwa Lina milango miwili na nafasi kuwa ya kutunzia vitu, Lina dispenser, na linatengeneza ice cube, Lina sehemu ya kugandisha na sehemu ya ubaridi tu, Lipo kimara mwisho, usafiri juu ya mteja karibuni sana.

Julius L.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam