Condition:
NEW
Description
Ina warranty miaka 2 years Ina gas3+Electric 1 Oven Electric Usafiri ni bure mpaka mlangoni kwako Malipo yanafanyika baada ya mzigo wako kufika nyumbani kwa wakazi wa dar es salaam pia tunatuma mkoani kwa uaminifu mkubwa sana au kama una ndugu jamaa rafiki yako aliyeko dar es salaam anaweza kufika dukani kwetu kwa uaminifu zaidi