Description
jipatie New printer Epson L850 printer & scanner zuri kwa ofisi au kwa ajili ya stationary, Epson L850 ina print Colour & black printer ya rangi unaweka mwenyewe. Unasafisha kwa kumpyuta nitakupa software yake... wasiliana nasi kwa namba hiii 0748104039 Unalipa ukipokea Mzigo...