Description
🔥🔥Under Offer = 1,749,000 ECO COOL SHOWCASE FRIJI LITA 553 🔸Ni kubwa sana lina lita 553 na lina Milango Miwili 🔸Lina Milango ilio tengenezwa kwa Kioo Kigumu Chenye Kuonyesha Bidhaa (SHOWCASE) 🔸Halina Kelele na ulikiwasha ni kama umelizima tu 🔸Halitumii umeme mwingi na lina technolojia ya kujizima kama hailinakazi kubwa hivyo kina Punguza matumizi ya Umeme 🔸Unalipata Hili Friji kwa 1,749,000 Bei ambayo Huwez pata popote Hata Uzunguke Tanzania Nzima.