09.08.2023Dar es Salaam

Dynker washing machine

TZS 320 000

Description

Mashine nzuri ya kufulia nguo pamoja na viatu Ni mpya sio mtumba/used Ni rahisi kutumia na inadumu sana Ina ujazo wa kg 7 Inafua,kusuuza,kukamua na kukausha Unaweza kutumia mara kadhaa kwa siku bila tatizo lolote Tunapatikana kigamboni ungindoni sokoni Dsm Deliveries Tunafanya kwa gharama za mteja na mikoani tunatuma kindly call/whatsapp 0676169893

Candy

Member since 2016.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam