Condition:
NEW
Description
Blenda hizi ni za kuchaji kwa muda na unaweza kutumia bila kuweka kwenye umeme, ni nzuri na portable kwa watu wa Rika zote, Unaweza ukatumia kazini, chuo, safarini na hata Ukiwa vacation kwa kuwa ikwa na charge tu Haina haja ya kuchomeka kwenye umeme!! Ina nguvu na kudumu