Description
**SEANNA GARDENS** inawakaribisha wote katika kusherekea sikukuu ya Pasaka siku ya Jumapili Kutakuwa na Buffet lunch kwa Gharama ya 20000 kwa mtu mmoja pia kutakuwa na Vinywaji vya aina zote burudani ya muziki kutoka kwa Seanna Djs michezo mbalimbali ikiwepo swimming pools games pamoja na michezo ya watoto Karibuni wote tuje tufurahi pamoja hii Si ya kukosa tembelea page yetu: seanna.tz Mahali Makongo juu CCM londa road