Description
Sofa la watu wanne ambalo lina fiber pamoja na spring kwa ajili ya kulinda afya ya viuongo vyako vya mwili hususani uti wa mgongo. Pia una weza kutoa order yako na ukatengenezewa ndani ya siku 03 tuh na siku ya 04 uka kabidhiwa. Piah tuna repair masofa. Tuna patikana mwenge lufungila nyuma ya zamani calabash pub, tuna fungua ofisi saa3 asubuhi mpaka saa 12 jioni kila siku za wiki. Kwa mawasiliano zaidi tupigie kupitia namba 0753604953