22.02.2023Dar es Salaam

Regulator

TZS 15 000

Description

Kwenye picha hapo juu ni Regulator... Ni miongoni mwa vifaa muhimu sana kwenye matumizi ya gesi. Regulator ni kiungo baina ya mtungi, pipe na jiko la gesi (stove).. Regulator hufanya kazi kwenye mtungi yote miwili (mkubwa na mdogo).. Tunazo regulator za aina tatu kwa sasa... Bei ya regulator moja ni 15,000 mpaka nyumbani.... *Free delivery* Jumla tunaanzia pc 10. 9,000 kwa kila pc. Ukichukua kuanzia pc 50 Bei inazidi kushuka. 7,500 kwa pc.. Tupo Buguruni kwa Mnyamani.... Relini.....

Gesika F.

Member since 2023.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam