Description
CHANZO CHAKUWA NA KIWANGO KIKUBWA CHA CHOLESTEROL MWILINI NA MADHARA YAKE. Cholesterol husafirishwa kwenye damu ikiwa imeunganishwa na protein hivyo hutengeneza kitu kinaitwa lipoprotein. Na hapa kuna makundi mawili ya Cholesterol i.High density lipoprotein Kazi kubwa ya high density lipoprotein yaani Cholesterol nzuri ni kusaidia kubeba kiwango cha Cholesterol kilichozidi na kukisafirisha kwenye ini.