30.12.2024Dar es Salaam
Description
Kiwanja kipo bunju "A" unapinda kushoto ukitokea mwenge unakwenda kama dakika 15 kwa bodaboda,kiwanja kina ukubwa wa sqm 750,umeme,maji vyote vipo,kiwanja kimepimwa,maongezi yapo kidogo
Chat with Mussa K.
Call Mussa K.