Description
Bidhaa hii ina faida zifuatazo:- 1. Huondoa sumu zote mwilini. 2. Hulinda figo na ini dhidi ya magonjwa. 3. Hutunza ubongo na kutunza kumbukumbu. 4. Huondoa madhara yatokanayo na unywaji wa pombe na uvutaji sigara uliopindukia. 5. Huleta usingizi mzuri sana. Huzuia ugonjwa wa kutokuoata usingizi(Insomnia). 6.Huondoa mafuta yaliyozidi mwilini na kuzuia kuota kwa vitambi.