Description
Banda la uwakala linauzwa laki tatu na elfu themanini(380,000) lipo gongo la mboto limetumika mwezi mmoja na nusu ndani kuna nafasi ya kukaa watu wawili utapewa SYSTEM YA UMEME YA NDANI NA MABANGO MAWILI YA KUCHORA ambayo bei au thamani ya MABANGO yote ni elfu 70 ila utapewa bure tafadhali nipigie 0757 956967 ....MIMI NDO MWENYE BANDA NA SIO DALALI