Condition:
NEW
Description
zaminocal imetengenezwa na madini aina nne 1️⃣ Calcium. Kazi ya calcium ni kusaidia damu isigande, Inasaidia mishipa ya damu ifanye kazi vizuri, Inasaidia mifupa kutanuka na kusinyaa. 2️⃣ Zinc. Husaidia kuondoa cholesterols mwilini, huongeza kinga y mwili, inasaidia kuleta hamu ya kula, inasaidia misuli ya uke kurudi kwenye hali yake (Nzuri Kwa Mama aliejifungua) 3️⃣ Magnesium. Inasaidia mifupa isiwe laini, husaidia muonekano wa mifupa kuwa mzuri, inasaidia calcium iweze kufyonzwa vizuri 4️⃣ Selenium. Inaongeza kinga ya mwili, inasaidia kupunguza kasi ya matatizo ya akili yasababishwayo na uzee. Inasaidia kupunguza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo. KAZI ZAKE .*Kusaidia kuboresha wingi na uzito wa damu kuganda .*Kuboresha mfumo wa fahamu (transmission of nerve impulses) .*Kusaidia misuli kufanya kazi .*kuchochea utengenezwaji na usambazaji wa hormones .* Kujenga afya ya mifupa na meno .*Kuzuia mifupa kuwa myepesi na kuvunjika .*Kuzuia maumivu kabla ya Hedhi (Premenstrual Syndrome-PMS) .*Kuzuia maumivu wakati wa Hedhi (Dysmenorrhea) .*Nzuri kwa wanawake walio kukoma hedhi .*Huboresha ufanyaji kazi wa moyo na misuli ya moyo .*Huboresha mawasiliano ya neva .*Huzuia matatizo ya kubanwa misuli (muscle spams),maumivu ya mapaja,mikono na kwapani. .*Huzuia kutokwa jasho usiku .*Nzuri kwa wenye tatizo la mtoto wa jicho (cataracts) .*Huzuia tatizo la kutoona mbali (myopia)