Condition:
NEW
Description
UGONJWA WA MOYO KUTANUKA, KUTANUKA KWA MOYO, MOYO KUWA MPANA/MOYO KUWA MNENE/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO. DALILI ZA MOYO KUTANUKA/KUTANUKA KWA MISULI YA MOYO, MADHARA YAKE, TIBA YAKE NA NAMNA BORA YA KUYATIBU MARADHI HAYA KWA UFANISI. Kutanuka kwa moyo maana yake ni moyo unakuwa mkubwa kuliko kawaida,moyo hutanuka kutokana na utanukaji wa misuli/ kuta za moyo ambayo ni matokeo ya misuli au kuta za moyo kufanya kazi kubwa kuliko uwezo wake. Kutanuka kwa moyo sio ugonjwa bali ni matokeo ya itilafu inayotokana na moyo kutumia nguvu nyingi katika kusukuma damu mwilini,nguvu hiyo ndio hudhoofisha misuli/kuta za moyo na kupelekea misuli hiyo kutanuka(moyo kuwa mpana/mnene). Je wajua nini hasaa chanzo cha moyo kutanuka??? Kutanuka kwa moyo huchangiwa na moja ya sababu zifuatazo; 1.Kupanda zaidi kwa shinikizo la juu la damu mwilini (Hypertension) au kwenye mishipa inayounganisha moyo na mapafu (Pulmonary hypertension). Hali ya presha au shinikizo la damu kuwa juu zaidi husababisha moyo kusukuma damu zaidi kuliko kawaida hali inayopelekea misuli/kuta za moyo kuwa nene hatimae hufanya moyo kuwa mpana. 2.Ugonjwa wa mishipa ya moyo (Coronary artery disease) pamoja na ugonjwa wa misuli ya moyo (Cardiomyopathy). Moyo wenye itilafu ya mishipa au misuli husababisha misuli au mishipa hiyo kukakamaa, kukakamaa kwa misuli/mishipa hupunguza uwezo wa moyo hatimae moyo hujaribu kutumia nguvu nyingi kusukuma damu hali inayofanya misuli kuwa minene. 3.Uchache wa chembe hai nyekundu katika damu(Red blood cell) au uwingi wa madini ya Chuma (Fe) katika damu. Uwepo wa chembe hai nyekundu chache katika damu ambayo inatafsiriwa kama ukosefu wa damu mwilini hufanya ubebaji na usambazaji wa damu mwilini kuwa mdogo hivyo moyo nguvu za ziada tena za haraka kukabiliana na hali hiyo na kupelekea kuta za moyo kuwa nene(moyo kutanuka). Kwa upande mwingine, uwingi wa madini ya chuma mwilini hufanya madini hayo kujijenga sehemu mbalimbali za mwili hasaa zaidi ogani za mwili kama moyo.Uwingi wa madini haya kwenye moyo hudhoofu misuli ya moyo na kufanya misuli ya moyo kuwa minene. 4.Magonjwa ya tezi mfano Thyroid disease. Magonjwa ya tezi (Grands disease) hupelekea homoni kutolewa kwa kiwango kidogo au kingi, kuvurugika kwa mpangilio huu huathiri mapigo ya moyo, msukumo wa damu na ukubwa wa moyo na hivyo kuufanya moyo kuwa mnene. 5.Kurithi na matatizo ya kuzaliwa nayo mfano kuwepo kwa tundu kwenye Aorta (Patent ductus arteriosus) kama ugonjwa wa kuzaliwa nao. Kurithi tatizo hili au kuzaliwa na tatizo hili hufanya watu kulipata tatizo hili. Sababu zingine zinazopelekea tatizo hili ni kama zifuatazo??⤵️; ➡️Kuharibika kwa vavu (valve) kwenye vishipa vya damu. ➡️Moyo kushambuliwa na virusi na bakteria mara kwa mara. ➡️Ugonjwa wa figo. ➡️Kuwa na uzito mkubwa (Overweight) na unene uliokithiri (Obese). ➡️Matumizi yaliyokithiri ya pombe na madawa ya kulevya. ➡️Maambukizo ya virusi vya ukimwi (VVU) ➡️ Ujauzito/kujifungua. KUMBUKA. Yako madhara yatokayo na kuishi na tatizo hili kwa muda hata kama mgonjwa ataendelea kutumia dawa kama Lasix, Digoxin, Dilamend 6.25mg, Ascard tablets-75 MG, Atorvastatin tablets, Vacodil na Safetelmi n.k Madhara hayo ni pamoja na ⤵️; ▶️kifo cha ghafla. ▶️Moyo kusimama kufanya kazi. ▶️Kiharusi(stroke). ▶️Vidonda kwenye moyo. ▶️Moyo kushindwa kufanya kazi(Heart failure). Na hii ni kutokana na ukweli kwamba, tatizo halitibiwi licha ya matumizi ya dawa hizo(ziko sababu). Dalili za moyo kutanuka(Cardiomegaly). Moja ya dalili za uwepo wa tatizo hili ni pamoja na; 1️⃣Kupumua kwa shida sana 2️⃣Kujaa na kuvimba kwa miguu. 3️⃣Kifua kubana na 4️⃣kupoteza fahamu. Dalili zingine za moyo kutanuka ni pamoja na Vidole kufa ganzi na kukakamaa, mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana,moyo kulipuka mara kwa mara,miguu kuwa ya baridi, maumivu kwenye chemba ya moyo, kuongezeka uzito na kuwa na tumbo kubwa. TIBA YAKE. Yeyote mwenye dalili tajwa hapo juu ni muhimu kwanza kufanya vipimo, viashiria vya ugonjwa hufanana. Ukiwa una tatizo hili au ndugu yako ana tatizo hili waweza wasiliana nami kwa ushauri na msaada zaidi. Cha zaidi na Muhimu. Ipo mimea tiba yenye uwezo wa ajabu sana katika kulimaliza tatizo hili.Ziko package mbili za dawa ambazo unaweza kuzitumia kwa siku hizo na ukaweza kuyatibu maradhi haya kwa ufanisi mkubwa. Dawa hizi zinapaswa kutumika kwa pamoja ndani ya wiki 6 za matibabu na utafanikiwa kuyadhibiti na kuyaondoa kabisa maradhi haya. Fanya yafuatayo ukiwa una changamoto hii; Muhimu zaidi aliyebainika na tatizo hili kufanya mambo yafuatayo; ➡️Kudhibiti ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi. ➡️Kupunguza ulaji wa wingi wa mayai na maziwa. ➡️Matumizi mengi ya chumvi kwenye mboga ➡️Kudhibiti kupanda kwa shinikizo la juu la damu ➡️Kudhibiti sukari ➡️Kutotumia pombe au kahawa ➡️Tumia mafuta kiasi kwenye mboga/kuandalia chakula mfano mafuta ya alizeti ➡️Kupata mapumziko ya kutosha kwa siku(masaa 8 au zaidi kwa siku) ➡️Kutumia mbogamboga za majani na matunda unazopendelea katika kila mlo. ➡️kufanya mazoezi ya viungo/kukimbilia kwa walau dk 45 kwa siku. ➡️Kujiandikisha kwenye kliniki ili kupata uchunguzi wa mara kwa mara. Huduma hii utaipata mahali popote ulipo Tanzania kwa kufuatwa, kutumiwa dawa n.k Location: