CategoriesJobsHealthcare

16.04.2022Tanzania, Dar Es Salaam

TIBU TEZI DUME BILA UPASUAJI

Negotiable

Description

TEZI DUME NI NINI?. Tezi dume hii kitaalamu hufahamika kama (PROSTATE GLAND) Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii Ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji hayo ndio Yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 4,lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda. DALILI ZA KUVIMBA KWA TEZI DUME:- • Kukojoa Mara kwa mara. • kubakiza mkojo kwenye kibofu. • kukojoa saana usiku. • Maumivu wakati wa kukojoa na mkojo usioenda mbali. • Kupungukiwa nguvu za kiume • UTI ya Mara kwa mara. • Mawe kwenye kibofu kutokana na mrundikaniko wa mkojo. • Figo kujaa maji, hii ni kwasabab mkojo huo unarudi nyuma kuelekea kwenye figo. • Kupoteza fahamu. •Maumivu ya Mara kwa mara ya kiuno kwa nyuma ya mgongo na mapaja. • Uume kushindwa kusimama vizur. •Kuwa na wakati mgumu wakati wa kukojoa na kuzuia mkojo. ATHARI ZA TEZI DUME KAMA HAITAWAHI KUTIBIWA:- Kushindwa kabisa kukojoa. Kupatwa na maambukizi ya UTI Kupatwa na vijiwe kwenye kibofu. Uharibifu wa kibofu unaweza kutokea. 5)Figo inaweza kuharibika. Suluhisho la kumaliza hili tatizo lipo: Tunayo dawa inayokwenda kumaliza shida ya tezi dume bila upasuaji PROSTATE RELAX ndani ya muda mchache utakuwa ni mwenye afya kama zamani karibuni sana.

Afya ni nguzo ya mafanikio

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam