Description
JE BADO WATOKWA NA UCHAFU UKENI *UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE* *Pelvic Inflammatory Disease* *Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu* *zifuatazo-:* . *Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria* *wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa *bacteria* *wa *kupambana* *na *maambukizi* . *Kadhalika *ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua* . *Pia sababu nyingine ni matumizi ya *condoms na kufanya* *ngono zembe* . *DALILI ZA UGONJWA WA PID* 1️⃣ *Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa* ni *mweupe, njano, au maziwa* 2️⃣ *Kuwashwa sehemu za siri* 3️⃣ *Uke kutoa harufu mbaya* 4️⃣ *Maumivu ya tumbo chini ya kitovu* 5️⃣ *Uke kuwa wa ulaini sana* 6️⃣ *Maumivu wakati wa tendo la ndoa* 7️⃣ *Kuvurugika Kwa hedhi* 8️⃣ *Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi* 9️⃣ *Maumivu wakati wa kukojoa na* *wakati wa choo kubwa* ATHARI/MADHARA YA PID ⚫ Ugumba kwa wanawake ⚫ Kupata Kansa ya shingo ya Uzazi. ⚫ Kutunga mimba nje ya kizazi kutokana na yai kushindwa kufika katika mji wa mimba kutokana na madhara ya PID katika mirija ya Uzazi. ⚫ KUSABABISHA majeraha nje na ndani ya mirija ya uzazi na hii hupelekea kuziba kwa mirija ya Uzazi. ⚫ Maumivu ya tumbo /ngonga mara kwa mara baada ya tendo la ndoa na kipindi cha uchavushwaji mayai (Ovulation). JINSI YA KUEPUKA/KUJIKINGA NA PID ⚫ Epuka kuvaliana nguo za ndani. ⚫ Kuwa na tabia ya kupima mara kwa mara mfumo wako wa Uzazi. ⚫ Kuwa msafi wa mwili na nguo zako za ndan ⚫ Kula lishe bora. ⚫ Epuka kufanya tendo la ndoa na mwenza wako mara baada ya kugundua ana magonjwa ya kujamiiana Tunayo tiba ya P.I.D yenye mchanganyiko wa mimea asili FEMICARE ambayo itaondosha tatizo lako la P.I.D bila kujirudia kabisa kwa muda wa mwezi mmoja tu.