CategoriesJobsHealthcare

10.01.2021Tanzania, Mwanza

TATIZO SUGU LA MAUMIVU MAKALI YA MIGUU KUWAKA MOTO NA GANZI ZA MIGUU

Negotiable

Description

GANZI MIGUUNI/MIKONONI/ MWILINI & MIGUU KUWAKA MOTO Ganzi ni moja ya tatizo/ugonjwa unaowakumba watu wengine sana na ni tatizo ambalo linakera sana kwa sababu hata unapoenda hospitali Mara nyingi hawapati tatizo lolote NINI HASWA CHANZO CHA TATIZO HILI 1:UMRI Kawaida mtu anapokua umri umeenda, mwili mzima uzeeka pamoja na mfumo mzima wa damu, hii husababisha mishipa midogo midogo ya damu kufa, au kuziba hii husababisha chakula na hewa ya oksijeni kutofika kwa ufasaha maeneo ya mbali kama miguuni na vidoleni hali hii hupeleekea mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa safi hivyo ganzi hutokea 2:KISUKARI Sukari inapokua nyingi kwenye mzunguuko wa damu hupelekea kuunguza mishipa ya damu halo hii husababisha mishipa kusinyaa ambalo hupelekea hewa ya oksijeni na chakula kutofika kwa ufadsaha maeneo ya mbali sana kama miguuni na mikononi hali hii husababisha mishipa ya fahamu kukosa chakula na hewa hivyo husababisha ganzi 3:DAMU NZITO Damu inapokua nzito pia hupelekea MTU kupata tatizo LA ganzi kwa ni husababisha kutofika kwa damu kwenye mishipa midogo midogo ya damu hii hupelekea ganzi pia Kwa mawasiliano zaid tutafute kupitia hiyo namba hapo chini ili tukusaidie

ELIAS MAZWAZWA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Mwanza