Description
1.Inasaidia kuondoa maumivu makali ya mgongo na pingiri 2.Husaidia kuondoa mafuta mwilini(rehemu/cholesterol)yaliyoganda kwenye mishipa ya damu na hivyo hufanya damu kupita vizuri 3.Husaidia kukuepusha na magonjwa ya moyo 4.Husaidia kuimarisha uwezo wa macho kuona vizuri 5.Humsaidia mama mjamzito anaetarajia kujifungua ajifungue salama na hivyo husaidia kuboresha afya ya mama na mtoto 6.Husaidia kuimarisha afya ya viungo(joints) na kupunguza maumivu ya mgongo.