Description
TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI / KUWAKA MOTO....✍?✍? ✍? KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa viungo vya mwili yaani miguu na mikono. Tatizo hili kitaalamu huitwa Peripheral Neuropathy. Matatizo haya ya kiafya ya miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu Tuba Na Ushauri. Kuondoa ganzi katika mwili na miguu utahitaji matibabu ambayo yatatolewa na mtaalam baada ya kujua chanzo cha hali hiyo kutokea kwani kama tulivyoona hapo juu,sababu za maradhi haya zipo nyingi,pia tunazo Dawa za Asili utakazotumia kumaliza tatizo lako baada ya kupata ushauri wa kidaktari Tumia C24/7 na Choleduz ili kutibu changamoto hiyo hazina kemikali ni nzuri pia kwa kuondoa Sumu mwilini zilizosababishwa na madawa.