CategoriesJobsHealthcare

17.09.2021Tanzania, Dar Es Salaam

SULUHISHO LA UZAZI KWA AKINA MAMA

TZS 1

Condition:

NEW

Description

*CHANGO LA UZAZI NA TIBA YAKE.* >Chango la uzazi ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni. Kwa upande wa *mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo.* Maumivu hayo hupelekea mwanamke kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi. *DALILI ZA MWANAMKE MWENYE CHANGO LA UZAZI.* ?Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. ?Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa. ?Kuvurugika siku zake za hedhi. ?Kujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi. ?Kupatwa hasira kali au jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi. ?Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi. ?Kuchukia kushiriki tendo la ndoa. ?Kupata uvimbe kwenye kizazi. ?Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi. *MADHARA YA CHANGO LA UZAZI KWA MWANAMKE.* ?Vigumu kupata mimba. ?Anaweza kuwa tasa kabisa. ?Kuingia na kutoka kwa mimba. ?Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni. ?Kuwa na uke mdogo sana na mkavu. ?Homoni kutowiyana.

Dr.Izack

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam