Condition:
NEW
Description
Viungo asilia: polysaccharides-peptide na Polysaccharides K * inasaidia kuboresha kinga za mwili * Inaongeza nguvu, inaimarisha mwili na kuongeza hamu ya kula. * Hupunguza maumivu ya mwili na kuondoa madhara ya tiba ya mionzi na huwafaa wenye changamoto ya Saratani. *Hutatua tatizo la hormone imbalance kwa wanawake kwa kutengeneza uwiano wa vichochezi. * Hutibu fibroids (uvimbe) kwenye kizazi bila upasuaji * Hutatua changamoto ya HPV (Human Papiloma Virus) * Huondoa matatizo ya ngozi kama chunusi na, utango tango, visundo sundo. * Inatibu asthma ya mapafu na ngozi, *Nzuri kwa watu wenye changamoto ya kujaa maji kwenye mapafu. * Husaidia watu waliofanyiwa operation kupona haraka * Huondoa sumu mwilini zilizotokana na dawa na kemikali mbali mbali.