CategoriesJobsHealthcare

31.12.2020Tanzania, Morogoro

PURE AND BROKEN GANODERMA SPORES

TZS 150 000

Condition:

NEW

Description

Imetengenezwa kwa uyoga mwekundu aina ya REISHI. Kazi zake kwa mtumiaji • Inaongeza kinga ya mwili hivyo muhimu kwa wote wanaougua mara kwa mara. • Inapandisha CD4 mwilini, hivyo ni muhimu kwa kusaidia wenye HIV/AIDS • Inazuia matatizo ya moyo kama kutanuka kwa moyo • Inazuia uzalishwaji wa seli za kansa • Inapunguza madhara ya mionzi (chemotherapy) • Inasaidia kuboresha mapafu na mfumo wa upumuaji. • Inaongeza hamu ya kula • Inaboresha mzunguuko wa damu katika mishipa mikubwa,hivyo kusaidia watu wenye presha • Inaponya mishipa ya fahamu. na kuboresha seli za ubongo • Huondoa mizio (allergy) aina zote. • Inalinda na kusaidia figo na kufanya ifanye kazi vizuri. • Ni imara kushindana na virusi, fungus, bacteria na wadudu wengine mwilini • Inasaidia kuondoa sukari,inafanya damu iloganda iyeyuke na inaondoa sumu mwilini. • Ni rahisi kuyeyuka kwa 100% hivyo kuleta matokeo ya haraka sana

BF S. M.

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Morogoro