Condition:
NEW
Description
○ -Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, uvimbe na kuvilia kwa damu - Huzuia tezi kuvimba - Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo. - Husaidia Damu kuzunguka vizuri. - Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis) - Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins) - Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi. - Zinapunguza uwondoshwaji wa seli za awali zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell) - Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation) - Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa.