CategoriesJobsHealthcare

30.01.2022Tanzania, Mbeya

Novel depile

TZS 70 000

Condition:

NEW

Description

● *FAIDA ZA VIDONGE VYA NOVEL-DEPILE* ○ Inasaidia kuondoa Bawasiri Sugu, uvimbe na kutoka kwa damu. ○ Huondoa maumivu yanayosababishwa na uzito wa miguu. ○Hutuliza mvutano wa mishipa miguuni kunakoweza kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye moyo. ○ Husaidia Damu kuzunguka vizuri. ○ Ni Nzuri sana kuondoa mlundikano wa uric acid kwenye maungio inayopelekea kuharibika kwa mifupa (Arthritis) ○ Ni tiba ya kuvimba kwa mishipa inayopitisha damu miguuni (Vericous Veins) ○ Kuboresha uzalishaji wa homoni zinazosaidia ubongo na mwili kufanya kazi. ○ Zinapunguza uwondoshwaji wa seli za awali zinanopambana na wavamizi (leukocyte and endothelial cell) ○ Inapunguza mnato wa damu na kurahisisha mzunguko wa damu (blood viscosity and improve blood circulation) ○ Inaboresha mzunguko wa maji mwilini kwenda sehemu zinazotakiwa. ● *VIUNGO* ○ Citrus Extract & Citrus Extract’s Essense ● *MATUMIZI* ○ Inatumiwa wakati wa chakula (Meza wakati wa kula) ○ Kwa matatizo ya Mishipa: Vidonge 2 kila siku. ○ Kwa basawiri: vidonge 2 kila siku. ○ Kwa Bawasiri Sugu: Vidonge 2 mala 3 kwa siku kwa mda wa siku 4, ikifuatiwa na vidonge 2 mala 2 kwa siku kwa mda wa siku 3, ikifuatiwa na vidonge 2 kila siku.

Uzazi na Magonjwa Yote

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Mbeya