CategoriesJobsHealthcare

14.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

NMN COFFEE

Negotiable

Description

NMN COFFEE: Hii ni bidhaa ya tiba lishe isiyo na kemikali yeyote. bidhaa ina faida zifuatazo mwilini, -Husaidia kutoa sumu mwilini -Haina kiwango cha sukari,ina ladha ya asili hivyo huwafaa wagonjwa wa kisukari -ina kiambata kiitwacho NAD+ ambacho husaidia kuimarisha cell zilizozeeka/zilizochakaa mwilini na kutengeneza nyingine upya hivyo mtu atakayetumia NMN COFFEE hatopatwa na magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari,pressure,strocke nk. -Husaidia kurepair(kutengeneza na kuimarisha)vina saba,gene -Ina ladha ya asili na haina kiwango cha sukari kilichowekwa ndani yake -ni kahawa inayofanya kazi kwa haraka sababu mara baada ya kutumia ndani ya dakika 15 inafanya kazi kwa haraka. -Ukiitumia kahawa hii kinga zako zitakua imara -Huwafaa watu wanaofanya kazi mara kwa mara na husaidia kuongeza nguvu ya ufanyaji kazi mara dufu -Inasaidia afya ya Ubongo(dopaman)husaidia ubongo kuwa na furaha wakati wowote -Ni nzuri sana kwa wapenda kahawa -Husaidia kimarisha kinga ya mwili

Samweli S. K. I.

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam