Condition:
NEW
Description
- Kuondoa damu iliyosimama kwenye mishipa ya damu - kusafirisha damu na oxygen katika mishipa midogodogo - Huwezesha hewa na Virutubisho kufika mahala husika mwilini hivyo kuzuia tatizo la kufa kwa seli za mwili (Ganglion) - Huondoa na kuzuia sumu sumu mwilini (Detoxification) - kulinda misuli ya moyo na seli za ubongo hivyo kuzuia tatizo la mshituko wa miyo na kiharusi - Kuweka sawa kiwango cha mafuta (cholesterol) - Kuimarisha mzunguko wa damu na Kusaidia macho kuona vizuri - Kuzuia mishipa ya damu kusinyaa na kukaza - Kuzuia kuganda kwa Damu katika mishipa (Blood cloating) - Hutibu maumivu ya kifua haswa yanayosababishwa na chembe ya moyo (Angina) - Hutibu shinikizo la damu, kiharusi na mshtuko wa moyo.