CategoriesJobsHealthcare

04.03.2021Tanzania, Iringa

MAFUTA YA SAMAKI

TZS 75 000

Condition:

NEW

Description

Kwa wajawazito na mtoto aliyepo tumboni * Hupunguza uwezekano wa mama mjamzito kupata kifafa cha mimba * Hupunguza madhara ya mabadiliko ya ki hormones kwa mama mjamzito * Ukuaji mzuri wa ubongo wa mtoto tumboni Kwa mtoto mdogo * Ukuaji wa ubongo wa mtoto * Huongeza usikivu na utulivu (attention) kwa watoto wadogo * Huongeza uwezo wa kumbukumbu * Nzuri kwa watoto wanao ugua mara kwa mara, huimarisha kinga ya mwili * Nzuri kwa watoto wanaochelewa kupiga hatua * Husaidia kuongeza nuru ya macho hivyo nzuri kwa wenye matatizo ya macho Faida zingine * Huchoma mafuta mabaya, hivyo nzuri kwa watu wenye presha * Huweka sawa uwiano wa hormones mwilini, kwa wanawake wanaosumbuliwa na hormonal Imbalance * Huondoa mafuta mabaya na kukufanya ujihisi kushiba muda mrefu hivyo nzuri kwa kupunguza mwili. * Kwa nywele nzuri zenye afya na mng'ao * Kwa ngozi nzuri yenye afya na mng'ao

BRIGTH FUTURE NETWORK TANZANIA

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Iringa