CategoriesJobsHealthcare

02.06.2022Tanzania, Arusha

FAHAMU KWA NINI UTI HAIPONI

Negotiable

Description

Ijue Sababu Ya U.T.I Kuto Kupona... Huenda hujui nini maana ya UTI. . UTI Hiki ni kifupisho Cha maneno haya *urinary Tract infections* Hii ni hali inayoshambulia mfumo wa mkojo ikiwepo urethra, kibofu, ureter na figo UTI imegawanyika katika makundi mawili ambayo ni-: ●UTI ya upande wa juu wa mfumo wa mkojo ambao Ni figo na ureter ●UTI ya chini ya mfumo wa mkojo ambayo ni kibofu na urethra *Visababishi Vya UTI* 1️⃣ Bacteria Eschericheria coli ambaye anaishi kwenye mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Huyu bacteria huingia sehemu ya haja ndogo kutokana na style za namna ya kujisafisha kwa mwanamke. . Yaani kutoka sehemu ya haja kubwa kuelekea sehemu ya haja ndogo. 2️⃣ Matumizi Ya Vitu vyenye chemikali kwenye uke Hii hutokea pale ambapo mwanamke hujisafisha kwa kutumia sabuni za kemikali 3️⃣ Matumizi ya vyoo vya kukaa hata vya kuchuchumaa ikiwa havijasafishwa vyema. 4️⃣ Kushiriki tendo na mtu mwenye UTI 5️⃣ Kisukari 6️⃣ Kushuka kwa kinga ya mwili 7️⃣ Kukojoa bila kumaliza mkojo kwenye kibofu 8️⃣ Kuto kunywa maji ya kutosha . *Dalili za UTI* ●maumivu kwenye kibofu na pelvis ●maumivu chini ya kitovu ●kutoa mkojo wenye damu au wenye Harufu mbayaa ●kukojoa Mara kwa Mara ●maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa kufanya tendo la ndoa ●Miwasho ukeni ●Kupata homa *Sababu Za UTI kuwa Sugu* . UTI kuwa sugu hupelekewa na mabadiliko ya pH ya uke . pH ya uke ikibadilika kuwa juu au chini kuliko kawaida basi nirahisi uke kutunza bacteria wabaya . Itatokea hata ungetumia vipi antibiotics, huwezi kumaliza U.T.I sugu . Kitu pekee cha kumaliza U.T.I ni kitu kinachoweza kurekebisha pH ya uke . Na hivi vitu unatakiwa kuwa makini navyo sana , uangalizi na kuongozwa matumizi vizuri. . *Jinsi ya kujikinga* " ●kuwa msafi na safisha uke wako kutoka mbele kurudi nyuma, ●Kula vyakula venye vitamin C kwa wingi mfano matunda aina ya machungwa, ndizi, ●hakikisha unakojoa mkojo wote unaisha Japo kumekuwa na matibu hayo ya dawa kadha wa kadhaaa kuhusu UTI Lakin bado wagonjwa wamekuwa wakilalamika kuhusu kuto pona kabisa wengine mpaka inafikia kuwa SUGU *NOTE* Kumaliza tatizo lolote ulilonalo hakikisha unatibu chanzo chake. Karibu kupata matibu zaidi ya kudumu kwa njia ya Asili kabisa

Clara michael

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Arusha