CategoriesJobsHealthcare

11.09.2021Tanzania, Dar Es Salaam

CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO NA SULUHISHO LAKE

TZS 1

Condition:

NEW

Description

FAHAMU UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO. AINA ZAKE CHANZO CHAKE DALILI ZAKE & TIBA YAKE TUMBO KUJAA GESI/TUMBO KUPIGA MIUNGURUMO/TUMBO KUUMA/KUISHIWA NDUGU/KUTAPIKA DAMU/ UTANGULIZI UJUE UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO. Vidonda vya tumbo ni tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda, hii hutokea ni baada ya kuharibika kwa ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaoitwa mucus. Kemikali ambayo ni acidi inayozalishwa mwilini kiasili husaidia kuyeyusha chakula na kuua wadudu tumboni, kama ukuta wenye ute ukiharibiwa na kushindwa kufanya kazi basi kemikali (acid) itaathiri tumbo au utumbo na kuruhusu bakteria kuendelea kusababisha vidonda vya tumbo. Vidonda vya tumbo vinatibika kirahisi ila vikicheleweshwa bila kutibiwa huweza kusababisha tatizo kubwa. Ni tatizo linalotesa sana na kuwanyima raha watu wengi, linahitaji umakini na pia husababisha magonjwa mengine kama kansa, amoeba (amiba), homa, kupungua uzito.  AINA ZA VIDONDA VYA TUMBO Kuna aina zipatazo mbili za Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers) 1️⃣Vidonda vya tumbo kubwa (Gastric ulcers) – Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye tumbo kubwa 2️⃣Vidonda vya utumbo mdogo (Duodenal ulcers) – Hivi ni vidonda ambavyo hutokea kwenye utumbo mdogo (hasa juu) CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo vina vyanzo tofauti ili vyote ni vile vinavyohusiana na mmeng’enyo, vyanzo hivyo ni; 1️⃣Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori) 2️⃣Matumizi ya dawa za kupunguza maumivu kama asprin, (NSAIDs), (Advil, Aleve, na zingine) 3️⃣Kuwa na mawazo mengi 4️⃣Kula vyakula vinavyozalisha acid kwa wingi 5️⃣Kunywa pombe na vinywaji vikali 6️⃣Uvutaji wa sigara 7️⃣Kuto kula mlo kwa mpangilio DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO Dalili za vidonda vya tumbo hujitokeza baada ya kula au kabla ya kula, ila mara nyingi wengi huwa wanazipuuzia na endelea kukuza tatizo, vidonda vya tumbo vinadalili kama; 1️⃣Kupata maumivu ya tumbo yanayokuwa kama ya moto (kuunguza) baada na kabla ya kula 2️⃣Kupatwa na kiungulia karibu na chembe ya moyo 3️⃣Tumbo kujaa gesi na kuvimbiwa 4️⃣Kichefuchefu na kutapika tena yawezekana kutapika damu 5️⃣Kupata haja kubwa ya rangi kahawia au nyeusi yenye harufu mbaya sana, pia haja yaweza kuchanganyikana na damu 6️⃣Kupoteza hamu ya kula na kupungua uzito 7️⃣Kushindwa kupumua vizuri JINSI YA KUEPUKANA NA VIDONDA VYA TUMBO 1️⃣Kunywa maji mengi 2️⃣Punguza mawazo, fanya mazoezi yatakupunguza na mawazo 3️⃣Punguza (balansi) kiwango cha halemu (choresterol) 4️⃣Usivute sigara 5️⃣Punguza au acha kunywa pombe 6️⃣Kula vizuri vyakula bora hasa asilia na sio vyakula vyenye kemikali 7️⃣Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9 TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO Tatizo la Vidonda vya tumbo linatibika kufuatana na mda wa tatizo, mara nyingi wagonjwa wamekuwa wakizalau dalili za vidonda vya tumbo na kudhani kuwa hakuna madhara makubwa. DAWA YA VIDONDA VYA TUMBO Tuna dawa ya kutibu Vidonda vya tumbo ambayo ni ya asili isiyo na kemikali ambayo hufanya mtu kupona na kuimarika kabisa. Dawa hiyo hutibu kwa mda kulingana na mda wa tatizo, tatizo halirudi tena maana huondoa chanzo pamoja na ugonjwa sio kituliza maumivu,  ukianza kutumia baada ya wiki moja mgonjwa huanza kupona na huonesha mabadiliko, pia mgonjwa anapewa mfumo wa maisha ambao inatakiwa autumie kwasababu kuna mtindo wa maisha unaendelea kuongeza tatizo pia kuna mtindo unapunguza hatari ya ugonjwa. KARIBU SANA KUTAPA SULUHISHO KWA HALAKA

Dr.Izack

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Categories

Location

Dar Es Salaam