Description
Hii ni bidhaa yenye virutubisho vya asili,bidhaa hii ni maalum kwa ajili ya matatizo ya mifupa na maungio,Ina madini ya Glucosamine hydrochloride ambayo husaidia kuongeza ute ute kwenye mifupa na maungio.Pia ina Chondrotin sulphate ambayo husaidia kuimarisha gegedu kwenye maungio,kazi za bidhaa hii, -Hutibu tatizo la mifupa na maungio kusagika(Arthritis) -Huondoa maumivu ya viungo na mifupa -Husaidia kuimarisha na kuipa afya mifupa na maungio -Huwafaa watu waliowahi kupata ajali/waliopata ajali -Husaidia kutibu tatizo la baridi yabisi ikitumika na pure and broken,Zaminocal,Micro2cycle -Kila mtu anashauriwa kuitumia sababu ya virutubisho vilivyo ndani yake -Huondoa maumivu ya mgongo,mbavu,kiuno na misuli nk