Description
Kwa matibabu ya.. *Fangasi/Fungus sehemu za siri (kwa Mwanamke) ambao husababisha miwasho na Harufu mbaya. *Mzunguko wa Hedhi. *U.T.I na P.I.D *Kutokwa na Ute mchafu na wenye harufu mbaya. *Mlingano/Mpangilio wa Vichochezi mwilini au HORMONE IMBALANCE.